Bilal
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Dk. Mohammed Gharib Bilal

Kumbe watu tunao, sasa tatizo nini?
NILIJISIKIA faraja kubwa wiki iliyopita wakati nilipoona picha ya wawakilishi wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa nchini Uturuki uliozungumzia Maendeleo ya Nchi Masikini.

Kikwete ‘afukuza bundi’ Zanzibar
HATIMAYE ndoto ya Dk. Mohammed Gharib Bilal imetimia. Kukurukakara zake za miaka kumi zimezaa matunda na tayari amerudi ulingoni.

Wanaotaka urais Zanzibar kupitia CCM matumbo moto
NANI atapenya Zanzibar? Nani ataishia njiani? Nani ataibuka Mgombea Mwenza wa Jakaya Kikwete? Jibu litapatikana baada ya vikao vya uteuzi.

Mpango wa Kikwete, Karume wakamilika
- Ni wa kumpa urais Dk. Shein Zanzibar
- Bilal kutegemea fadhila za rais mpya
MKAKATI wa marais Jakaya Kikwete na Amani Karume wa kumfanya Dk. Ali Mohammed Shein kuwa rais wa Zanzibar, sasa umekamilika.

Dk. Bilal amtisha Rais Kikwete
- Ni ikiwa hatamteua kugombea urais Zanzibar
- Mabilioni yamwagwa kutoka Uarabuni
- Mbunge Rostam Aziz ahusishwa
RAIS Jakaya Kikwete ametishiwa. Ameambiwa asipopitisha jina la Dk. Mohammed Gharib Billal katika kinyang’anyiro cha urais visiwani Zanzibar, yeye na chama chake “watakiona cha moto.”