Karume
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Rais Amani Karume

Urithi wa Nyerere ni Muungano tu?
KINGUNGE Ngombale-Mwiru, mmoja wa makada wakuu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametoa wito.

Kiongozi akiibia serikali, ataigwa tu
WALA sishangai ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar kufichua kitendo cha ofisa wa serikali kuidhinisha malipo ya Sh. 20 milioni kwa kazi iliyogharimu Sh. milioni mbili tu.

Kwa maridhiano, Amani Karume moto
KWA kuangalia hali halisi ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nathubutu kusifia utekelezaji wa dhamira ya maridhiano katika siasa za Zanzibar.

Wazanzibari msidanganyike, semeni NDIYO
RAIS Amani Abeid Karume anataka kuhakikisha dhamira yake inatimia. Dhamira gani hiyo? Kujenga siasa za maridhiano katika visiwa vya Unguja na Pemba kabla ya kuachia madaraka mwisho wa mwaka huu.

Mpango wa Kikwete, Karume wakamilika
- Ni wa kumpa urais Dk. Shein Zanzibar
- Bilal kutegemea fadhila za rais mpya
MKAKATI wa marais Jakaya Kikwete na Amani Karume wa kumfanya Dk. Ali Mohammed Shein kuwa rais wa Zanzibar, sasa umekamilika.

Wanaotaka urais Zanzibar kupitia CCM matumbo moto
NANI atapenya Zanzibar? Nani ataishia njiani? Nani ataibuka Mgombea Mwenza wa Jakaya Kikwete? Jibu litapatikana baada ya vikao vya uteuzi.

Kikwete amtema rasmi Lowassa
- Amwandaa Karume kumrithi 2015
- Dk. Shein ‘kupewa’ urais Zanzibar
- Lengo ni kumaliza makundi, fitina
RAIS Jakaya Kikwete na Rais Amani Abeid Karume watakabidhiana urais wa Jamhuri ya Muungano mwaka 2015, taarifa zimeeleza.

Mbio za urais CCM na hatima ya Z’bar
KATIKA kipindi ambacho macho na masikio ya wawakilishi wa kibalozi wa nchi za magharibi wanasema waziwazi wangependa kuona Wazanzibari wanaridhia mabadiliko ya mfumo wa kiutawala Zanzibar, inashangaza viongozi wenyewe wa Zanzibar wanajikongoja katika suala hili.

Mzanzibari amua kufuta siasa chafu
FILIMBI ya kuruhusu mchezo kuanza, imepulizwa Zanzibar.
Kwanza, Rais Amani Abeid Karume ameanza kuwatwanga mawaziri na wasaidizi wake katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Karume awapasha mawaziri wasaliti
RAIS Amani Abeid Karume ana wakati mgumu baada ya wasaidizi wake waandamizi kuonekana kuwa mbali naye katika kipindi hiki cha kuleta maridhiano Zanzibar.

Tulipo si mahala tena pakushindana na wakati
KUJUA kwamba wajumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) la serikali ya Rais Amani Abeid Karume wamejadili kizalendo muswada wa sheria ya mabadiliko yanayojengwa Zanzibar, kunanipa furaha sana.

CCM achieni Zanzibar ijizongoe
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinajenga siasa mbaya. Kwa kinavyoyachukulia baadhi ya mambo muhimu yenye maslahi na taifa, hapana shaka kinaelekea katika kukwamisha maridhiano Zanzibar.

Karume ampiku Kikwete
RAIS Amani Abeid Karume amepanda chati kisiasa hata kumzidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.

Amani ya Zanzibar muhimu kuliko uchaguzi
KINACHOFUKUTA Zanzibar, kwa minong'ono kuwa yanahitajika mabadiliko kabla ya uchaguzi mkuu, kinaweza kuwa baraka kwa taifa hili kuliko balaa.

Wanaotaka urais Zanzibar wajitangaze
NI miaka miwili sasa tangu nilipomsifia Balozi Ali Abeid Karume (Balozi Karume) kwa hatua yake ya kutangaza kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.

Karume amzunguuka Kikwete
HOFU imetanda. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kumeguka – Zanzibar huku na Tanganyika kule – hivyo kuweka Muungano mashakani.

Wazo la Karume kuongoza tena halina tija
SAID Soud Said awaeza kuwa mwanasiasa mwenye akili nyingi. Lakini naona sasa anakuwa "mwanasiasa hatari."

Uteuzi wa Duni, Mazrui wamuinua Karume
TARATIBU na mazoea ya miaka ya nyuma yanasahaulika. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais Amani Abeid Karume, safari hii hakusita alipopata mapendekezo ya kiongozi wa upinzani wa Baraza la Wawakilishi, Abubakar Khamis Bakary.

Wacha Maalim Seif…Hata Karume aweza kuwa jabali
RAIS Amani Abeid Karume ana kitendawili. Si kigumu hivyo kwani aweza kuwa ndiye mteguzi. Ni Mswahili huyu aliyesoma Unguja, tena kwa Kiswahili.
Ni lugha ya mafumbo. Unafumba hala

Serikali yavunja Katiba
SERIKALI imevunja katiba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume, amemteua Hamid Mahamoud kuwa jaji mkuu wa Zanzibar baada ya kustaafu kwa hiari na kulipwa mafao yake, imefahamika.

Wasaidizi wako Karume ni mfanowe
KILA unapokamilika uchaguzi mkuu, wanasiasa Zanzibar wanaangalia mbele: ni kuchuma tu. Kasi ya kuchuma huwa kubwa kiasi cha kusahau uwajibikaji kwa waliowachagua.

Osama anaficha kitu; Amani Karume je?
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanzisha sinema. Ni sinema ya aina yake kwa waandishi wa habari na wananchi.

Karume, Vuai 'mwendapi?'
HEBU fikiria. Katika hali ambayo Zanzibar iko gizani kwa zaidi ya wiki mbili sasa, anatokea mtu anakupelekea utani ufuatao juu ya rais wa Zanzibar:

Wazanzibari tumieni busara sio nguvu kuiokoa nchi
HAKIKA, Zanzibar inaumwa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kama kuna maneno sahihi ya kuelezea kiwango cha ugonjwa wake, ni kwamba "Zanzibar sasa imo katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).

Karume aliyakimbia Mapinduzi
NIMEPOKEA maswali mengi na hoja mbalimbali kutoka kwa wasomaji wa gazeti hili kutokana na makala yangu iliyochapishwa katika toleo la 30 Aprili 2008 iliyobeba kichwa cha habari kisemacho: "Karume na zimwi la Mapinduzi."

Tofauti ya baba na mwana
- Miaka 36 ya kifo cha Abeid Amani Karume
WAKATI Wazanzibari wanakumbuka mauaji ya kiongozi wao wa kwanza baada ya Mapinduzi ya 12 Januari 1964, vilevile wanatafakari mustakbali wa taifa alilolifia.

Karume alia mbele ya Kikwete
- Akumbusha kifo cha baba yake
- Wajumbe wahofia chama kufutika
RAIS wa Zanzibar Amani Abeid Karume, alilia katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijijini Butiama wakati akipinga kuwepo serikali ya pamoja kati ya chama chake na Chama cha Wananchi (CUF).