Nahodha
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Vuai Nahodha

Upole wa Nahodha wayeyusha makali
BUNGE la Jamhuri ya Muungano, Ijumaa iliyopita, lilipitisha bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi, hatua ambayo wengi imewaacha midomo wazi.

Shamsi Vuai Nahodha: Sina mamalamiko
- Apigia debe serikali ya umoja wa kitaifa
- Ampamba Rais Aman Abeid Karume
WAZIRI Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Shamsi Vuai Nahodha alitaka kugombea urais Visiwani. Hakufanikiwa.

Waziri Kiongozi, Uwaziri mkuu hawawezi kuwa rais?
MCHAKATO wa kusaka mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu, umethibitisha kwa mara nyingine kwamba nafasi ya Waziri Kiongozi au Waziri Mkuu si njia ya kutumia kuufikia urais.