Lissu
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Tundu Lissu
Wakosoaji wa Lissu wamepwaya
PENGINE ilikuwa ni nafasi pekee ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumalizia hasira zao katika hotuba ya bajeti ya waziri kivuli wa sheria na katiba, Tundu Lissu.

CCM wapanga kuhujumu CHADEMA
MKAKATI wa makusudi umesukwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kudhoofisha jitihada za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limeelezwa.
Spika Makinda na ‘kiatu pwayu’
NAUNGANA na wanaosema Spika Anne Makinda hana uwezo wa kuongoza bunge; hasa bunge la sasa. Chombo hiki kikuu nchini – Bunge – kina majukumu matatu makuu: kutunga sheria, kushauri na kusimamia serikali na kuwakilisha wananchi.

Tutaifishe mitambo ya Dowans
SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Anna Makinda hakuwa na sababu zozote za msingi kukataa kusudio la kujadili bungeni hukumu ya mahakama ya kimatifa kati ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara (ICC) kati ya serikali na makampuni ya Dowans Holdings S.A na Dowans Tanzania Limited.

Askofu huyu katumwa na nani?
ASKOFU wa Kanisa Katoliki anategemewa azungumze mambo ya maadili na imani. Anatarajiwa afundishe mafundisho ya kanisa, yasiyoegemea upande wowote wa kisiasa kwa kuwa yeye ana waumini wa vyama mbalimbali katika kanisa lake analoliongoza.

Tundu Antipas Lissu: Ataka ubunge Singida Kusini-Mashariki
MIAKA mitatu iliyopita, katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, yalitokea mambo makubwa mawili yaliyoyobadilisha mwelekeo wa siasa za upinzani nchini.

Wachimba madini wadogo: Serikali inapigana na wananchi
WAKILI wa Mahakama Kuu, Tundu Lissu amesema anatafsiri mahusiano ya serikali na wachimbaji wadogo wa madini nchini kama vita vya serikali dhidi ya wananchi wake.

Mwakyembe: Nitafyatuka
- Lissu: Dharura ni kichaka cha ufisadi
MBUNGE wa Kyela (CCM), Dk. Harisson Mwakyembe amembwatukia mfanyabiashara Rostam Aziz na kumwonya kuwa “kuna siku tutafyatuka…tusiheshimiane kabisa.”