MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe amenukuliwa akisema Maalim Seif Shariff Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa 2010.
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Zitto Kabwe

NCCR kutumika kuvuruga CHADEMA
- Zitto Kabwe ahusishwa
- Kafulila naye atajwa
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini anayeendelea kupata matibabu nje ya nchi, ametajwa katika njama za kuhujumu chama chake.

Naomba kupelekwa India nikatibiwe mafua
SIKU moja kulitokea ajali mbaya sana ndani ya ikulu ya Magogoni jijni Dar es Salaam ambayo ilitushangaza Watanzania.

Serikali yaumbuka
SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imeumbuka. Imegundulika kuwa ilikataa ushauri wa wataalam kuhusu ukomo wa Shirika Hodhi la Mali za Mashirika ya Umma (CHC).
Unafiki wa CHADEMA, ulafi wa CCM
TAKRIBANI majuma mawili sasa, Bunge la Jamhuri na baadhi ya vyombo vya habari nchini vimetawaliwa na mjadala wa posho za wabunge na watumishi wa serikali.

Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ililazimika kujigeuza mahakama ili kusikiliza malalamiko dhidi ya wagombea nafasi ya uenyekiti wa baraza la vijana la chama hicho (BAVICHA).

Zitto ana maslahi yapi NSSF?
ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini, amejiingiza katika kazi isiyomhusu. Sasa ametumbikiza hadi Kamati ya bunge ya kusimamia hesabu za mashirika ya umma (POAC) katika “mradi” wa kutetea Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

NSSF iachane na Kiwira
SHIRIKA la hifadhi ya jamiii (NSSF) linapigiwa upatu ili limilikishwe mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira. Miongoni mwa waliojitokeza kupigia upatu NSSF, ni mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe.

Hujuma dhidi ya CHADEMA nje
- Zitto kung’olewa rasmi
MRADI wa vyama vitatu vya upinzani nchini unaolenga kupunguza nguvu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bungeni, huenda ukakwama.

Zitto ahusishwa na Rostam
ZITTO Kabwe, naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekuwa na mawasiliano ya karibu na na mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, imefahamika.

Usalama wa Taifa wavamia CHADEMA
VIGOGO kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wametajwa “kuingilia” Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limegundua.

Zitto na akili ya Andy Capp
RAFIKI wa karibu, mwandani au mpenzi mkubwa wa Andy Capp, ni pombe aina ya Whisky.

Zitto ayumbisha CHADEMA
ZITTO Kabwe, sasa anatuhumiwa kuyumbisha chama chake kwa kukiingiza katika mahusiano ya mashaka.

Zitto anataka kusaliti CHADEMA
MKUTANO wa kwanza wa Bunge la kumi uliomalizika Alhamisi iliyopita, mjini Dodoma, umeandika historia.

Zitto na kauli tata
MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameibua mjadala mwingine. Anasema siasa halikuwa "chaguo la kwanza" katika maisha yake.
Zitto Kabwe: Kumbikumbi huruka na kuliwa na kunguru
ZITTO Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini, amekiri kumpa magari matatu ofisa habari za zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), David Kafulila.

Siri za Zitto nje
- Mawasiliano yake yanaswa
- Aponzwa na mwandishi wa habari
SIRI kubwa kuhusu mwenendo wa Zitto Kabwe (Mb) ndani ya chama chake zimeanikwa mitaani na zinaweza kumzamisha kisiasa, MwanaHALISI sasa linaweza kuripoti.

CHADEMA: Chuki na visasi vya mawifi
JUHUDI za ndani kwa ndani za kuzamisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huenda zikagonga mwamba. Lakini zinaendelea.

Mwanangu anatumiwa – Mama Zitto
SHIDA Salum, mama mzazi wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameibuka na kusema mwanaye anatumiwa kukivuruga chama chake.

Kampeni ya Zitto ilifadhiliwa na nani?
MKUTANO Mkuu wa Uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umemalizika kwa Freeman Mbowe kuendelea kukalia kiti cha mwenyekiti.

Siri ya Zitto yafichuka
SIRI ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe kuondoa jina lake katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chake imejulikana.

Uasi wa wabunge kwa mawaziri ni halali
KUNA burudani ya aina yake bungeni. Baadhi ya wabunge wameshika makoo ya mawaziri kama vile uchaguzi mkuu unafanyika mwaka huu, si mwaka kesho.

Ngeleja sasa amwacha Zitto ulingoni
- SAKATA LA DOWANS
HITIMISHO la mjadala wa ununuzi wa mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans Holding (Tanzania) Limited, bado halijafikiwa.

Zitto amejikwaa, hajaanguka
MSIMAMO wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuhusu suala la ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Dowans unaonekana kuwakwaza watu wengi.

Serikali ilete ajenda yake
SERIKALI ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, inaonekana imekuwa katika kifungo cha fikra kwa kipindi chote cha mwaka wa fedha wa 2007/08. Imeshindwa kujitoa katika ajenda iliyoasisiwa na wapinzani.

Sitta, Kabwe na Slaa msirudi nyuma
TANGU serikali ya awamu ya nne itangaze bajeti yake ya mwaka 2007/08 haijawahi kupumzika dhidi ya tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.