Tenga
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Leodegar Tenga, Rais wa TFF
Tenga, hatuna la kujivunia Cecafa
SIKU moja kabla ya kuanza kwa michuano ya Afrika Mashariki na Kati maarufu kama Kombe la Chalenji, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa).
Tenga alichaguliwa 24 Novemba, mwaka huu bila kupingwa (alipata kura zote 11) baada ya mpinzani wake, Fadoul Hussein wa Djibouti kuingia mitini, bila ya sababu yoyote iliyowekwa wazi na Cecafa.
Kutokana na hali hiyo, mjumbe mmoja kutoka Uganda alitoa hoja ya Tenga kupitishwa bila kupingwa, hoja ambayo iliungwa m

Kwa staili hii, TFF itamfia Tenga
AKILI yangu inanituma kuamini kwamba, TFF (Shirikisho la Soka Tanzania ) chini ya Rais Leodegar Chilla Tenga, inazama.