Recent comments


 • Unyama wa polisi Arusha na maigizo kwenye TV   8 years 37 weeks ago
  Ridhiwani hadi leo hajawahi kukanusha kumilikia kiwanja Arusha, japokuwa binafsi sina ugomvi naye kumiliki kiwanja kokote atakako katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au kwenye sayari ya dunia, ni haki yake!
  jessie31
 • Uongo wa Nape, Ridhiwani utamaduni wa CCM   8 years 37 weeks ago
  Ilitarajiwa polisi waombe radhi wananchi kwa waliyotenda. Hawakufanya hivyo. Sasa jeshi linatumia fedha za wananchi kununua muda wa matangazo yenye lengo la kuficha ukweli.
  jessie31
 • Usiri hatari migodini   8 years 37 weeks ago
  Hata wakati wa kurithi mkataba wa uzalishaji umeme kutoka iliyoitwa kampuni ya Richmond, hakunyanyua mguu kutoka Oman.
  jessie31
 • Visa, vituko na filamu ya ziara ya Al-Adawi   8 years 37 weeks ago
  Kiwanja hicho ni kati ya viwanja walivyomilikishwa vigogo mkoani Arusha na kuzua malalamiko ya wananchi wa kawaida ambao hawakupewa viwanja licha kuahidiwa kuwa wangemilikishwa.
  jessie31
 • Rais Kikwete aanze kujisafisha kwanza   8 years 37 weeks ago
  Kilomita moja kabla ya kufika geti la mgodi, lori linaonekana mbele. Linakuja kwa kasi. Dereva wa msafara wa mbunge anasimama kupisha lori. free advertising|Hospital beds
  jessie31
 • Rais kadandia meli iliyong’oa nanga   8 years 37 weeks ago
  akini dereva wa lori naye anasimama kama mita kumi mbele. Baada ya takriban nusu dakika, dereva huyo anaondoa lori lake kwa kasi na kubamiza gari la mbunge kwa upande wa dreva. Kizingiti cha tatu.
  jessie31
 • Rais Kikwete aumbuka   8 years 37 weeks ago
  Hata wakati wa kurithi mkataba wa uzalishaji umeme kutoka iliyoitwa kampuni ya Richmond, hakunyanyua mguu kutoka Oman.
  jessie31
 • Nini kinamuandama Dk. Mwakyembe?   8 years 37 weeks ago
  Mimi nafikiri Mungu ni zaidi ya kila kitu.tukimshirikisha yeye tutayashinda mengi. Nakuombea upone haraka urudi kazini. Mungu ni mwema hatokuacha ufe kifo kisicho chakwako.
  Josiah
 • Tume ya Uchaguzi kitanzini Igunga   8 years 38 weeks ago
  SERIKALI YA KITAIFA. Mwalimu alisema "nilipokuwa Zambia nilizungumzia hili kama hamkuripoti shauri yenu, aliendelea sioni sababu chama kilichoshinda asilimia 70 kuchukua madaraka asilimia 100 wakati kuna asilimia 30 waliokubali sela za wenzuni na wanaona zingewafaa na kuwaletea mabadiliko, aliendelea hii si hoja ya chama ila ni maoni yangu ilikuepuka watu kufikilia tunaongozwa na kabila fulani ama dini fulani ama watu fulani fulani tu kuna haja ya kuungana pamoja chama kilicho shinda na kilishindwa kuyafanikisha matakwa ya watanzania, sidhani kama hawa waswahili wanaweza kuvumilia miaka mitano kusubiri uchaguzi wakati hata tukifanya uchaguzi wa wazi kabisa tukitoka nje watu wanalalamika" haya yalikuwa mawazo ya mwalimu mwaka1995, katika kumwenzi mwalimu tunayatekelezaje haya wana ndugu? let us act.
  Lutego Luka
 • Tume ya Uchaguzi kitanzini Igunga   8 years 38 weeks ago
  MABADILIKO NI LAZIMA. Akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kutoka kwenye kikao cha kupitisha majina matatu ya wagombea uraisi kutoka CCM 1995 wakati tunaingia mfumo wa vyama vingi Baba wa Taifa alisema "kungekuwa na chama ambacho kimejipanga na kinaweza kuongoza nisinge endelea kusumbuka na CCM kwani nayajua mapungufu yake mengi, nalazimika kufanya hivi kwa sababu nikiangalia vyama vingine naona CCM bado wanaweza kutuletea kiongozi hata kama si mzuri sana," ndugu zangu ilikuwa 1995 CCM ilipokosa mbadala mwalimu akalazimika kuitetea japo aliamini kuwa ilisha poteza dira, Je mpaka leo watanzania hatujaona mbadala? kama ndiyo basi teteeni hoja ya mgombea binafsi, kama hapana tuacheni ujinga kuchagua kwa dhana kuwa hata usipo piga kula kitapita tu huu ni uenda wazimu, miaka hamsini ya uhuru jiulize umemuunga vipi mkono mwalimu katika wazo lake la kuleta mabadiliko? ama bado tunaamini "time will tell" we have to tell the time that we are ready to change, we can and we must.
  Lutego Luka
 • Tume ya Uchaguzi kitanzini Igunga   8 years 38 weeks ago
  Hatuna NEC ya taifa Tanzania bali tuna NEC ya CCM inayoendesha mipango yake yote ya kuibakisha CCM madarakani, watu wengi tushasema katika hali ya kawaida utakuwa kibaraka na mtumwa wa aliyekuteuwa siku zote, pengine NEC ingeliundwa na bunge na kuwajibishwa na bunge kidogo ingesaidia japo bunge lenyewe linaishia hoja za kura nyingi ambazo siku zote mwenye wabunge wengi anashinda hatakama hana hoja. jamani ndugu zanguni wakati wa maneno matupu umekwisha tuoneshe na vitendo pia kuwa haya mambo yanatukela, kama tunasema tusimumunye maneno. anayesema Tanzania mambo yanaendeshwa kwa haki, uadilifu na usawa amekosa uzalendo na ni mnafiki mtupu. kama hakuna chama kitakacho leta mabadiliko basi sote tupaze sauti kuwa tunataka mgombea binafsi na si kufanya uchaguzi na kuiweka serikali ambayo miaka yote kumi tutailaumu, tujilaumuni wenyewe kwanini tunapiga kura kipumbavu! amkeni jamani watanzania.
  Lutego Luka
 • Igunga kwafukuta   8 years 38 weeks ago
  BAKWATA kwanini ? Hivi hii migogoro kwa nini mnaileta wakati wa uchaguzi tu? Je kuna jukumu gani la vyombo vya dini kama sio kutangaza amani kwanza? Je ni vema kwenu kuandamana kwa jambo ambalo hamna uhakika nalo? Na sasa Dc Fatuma anaonekana hayupo kwenu ambaye mlitaka kutangaza maandamano. Aibu hii ni ya NANI? Ingependeza sana ikiwa wataomba msamaha kwa hili.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  Isdory Mwesiga
 • Udini isiwe silaha ya uhalifu   8 years 38 weeks ago
  MTAZAMO WANGU. Kama kweli nchi hii si ya kidini na haipendi udini viongozi wa sirikali wasihusishwe katika sherehe na semina za kidini kwa vyeo vyao ila kwa uumini wao, kwanini sherehe za kidini wasialikwe viongozi wakuu wa dini husika watakao weza kuizungumzia kiufasaha dhana halisi ya sherehe hiyo kwa waumini wao kuliko kuwaalika viongozi wa serikali ambao wataishia kutoa tamko,msimamo au hotuba za kiserikali katika mahali pasipopake? viongozi wa dini msipoangalia mtatupeleka pabaya kwani ninyi ndio mnaochanganya serikali, siasa na dini kwani katika sherehe zenu mnawaalika aidha mbunge fulani ama waziri furani na hata Rais, Je hawa viongozi watazungumza nini juu ya upadrisho, uinjilisti ama hitimisho la mfungo wa Ramadhani kwa waumini wenu? kuweni wakweli na wahalisia wa dhana na kusudi la kumwalika viongozi fulani katika sherehe zenu, si kwasababu tu ni maarufu mnawaalika ila wanamchango gani katika kukuza imani yenu. msiwape rushwa ya nafasi.
  Lutego Luka
 • Igunga kwafukuta   8 years 38 weeks ago
  CCM wanajua wazi kabisa kuwa wamepoteza imani kwa watanzania ndio maana wanajaribu kututenganisha kwa kuchochea udini na ukabila, binafsi sijaona chama kisicho na dini zote na makabila mengi, watanzania tunatakiwa kutambua kuwa siku zote waanzilishi wa chama chochote lazima wawe ni watu wa karibu na wenye mitizamo inayofanana. tukiwasikiliza sana CCM tutaishia kusema CUF ni ya waislam kwasababu wanachama na wabunge wengi wako Zanzibar na CCM vivyo hivyo kwasababu katika teuzi nyingi Rais anashutumiwa kuteua waislam na mwisho tutaishia kusema CHADEMA ni ya wakristo kwasababu viongozi wake wengi ni wakristo, Je Huu ndio utakuwa ukweli? tusipelekeshwe ndugu zanguni tutumie akili zetu timamu kuyapima hayo. ccm jueni kuwa mnaongea na watanzania wakizazi kipya wenye mtizamo mpya na sio wa enzi za ujamaa wa kila kitu ndio.
  Lutego Luka
 • Viongozi wasipobadilika tutabaki masikini milele   8 years 38 weeks ago
  Kuhusu makala ya VIONGOZI WA DINI WACHUNGE NDIMI ZAO ni kweli serikali ya CCM inawatumia viongozi wa dini kutetea uovu wao.Kumbuka Mkapa aliposhambuliwa kwa maovu yake alikimbilia kanisani wakamtetea,Lowassa hatujasikia kanisani kwao akikemewa,na wengine wengi wa namna hiyo. Leo mtu akifanya kosa akisemwa baadhi ya watu wanakimbilia viongozi wa dini ili watoe laana kwa wakosowaji,hii ni hatari kwa amani ya nchi kwani tunaanza kuhukumiana kwa misingi ya dini.Mashehe,wachungaji,maaskofu n.k msipobadilika na kusimamia mafundisho ya dini zenu basi waumini watawakimbia maana mnaonekana ni mawakala wa serikali na vyama vya siasa.Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaizari mpeni Kaizar.
  Mwaya
 • Viongozi wasipobadilika tutabaki masikini milele   8 years 39 weeks ago
  Kukua na hata kuimarika kwa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA hakutokani na ubora na umakini wa viongozi wake peke yake. Kunatokana pia na mazingira ya kutota kwa waliotawala kwa miaka!
  jessie31
 • Umebaki mnara tu   8 years 39 weeks ago
  Kwa hiyo kamata! Bambika mashitaka. Weka rumande. Peleka mahakamani… Achia kwa dhamana. Kamata. Weka rumande. Fungulia mashitaka…kama jana, kama leo, kama kesho, kila siku.
  jessie31
 • Ukatili hujibiwa kwa sheria   8 years 39 weeks ago
  Mkoa wa Kagera pia unatakiwa kuweka mikakati ya kupunguza kasi ya ongezeko la idadi ya watu la asilimia 3.1 kwa mwaka, ikilinganishwa na kiwango cha asilimia 2.9 kwa mwaka kwa sasa.
  jessie31
 • Ukombozi waja… kipigo chayoyoma   8 years 39 weeks ago
  Mkoa wa Kagera una fursa nyingi za kupata mapato mengi kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi, lakini mapato hayo hayawiani na hali ya maisha ya wananchi wa mkoa huo.
  jessie31
 • Vioja katika uchezeshaji soka   8 years 39 weeks ago
  Hapa nchini petu hali ikoje? Ni vipi viongozi wetu wanayatazama hayo? Je, wanaruhusu sheria kufuata mkondo wake panapotokea tatizo? Wanajali dhana ya uwazi katika kufanya kazi za serikali?
  jessie31
 • Uchumi Kagera waporomoka kwa kasi   8 years 39 weeks ago
  Katika fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika mwaka 2006 nchini Ujerumani, mwamuzi Graham Poll wa Uingereza alifirikiwa kuwa mmoja wa waamuzi bora ulimwenguni na aliku!
  jessie31
 • Ujumbe wa walimu kwa CWT   8 years 39 weeks ago
  Kwa mfano, ni vipi viongozi wetu wanateuliwa kushika nyadhifa katika serikali na taasisi zake. Hili wenzetu hulifanya kwa vigezo maalum na inapobainika kuna uteuzi uliofanywa kwa misingi ya upendeleo na kujuana kindugu, mhusika anachukuliwa hatua.
  jessie31
 • Kama ungekuwa mwana Igunga kura yako ungempa nani?   8 years 40 weeks ago
  Ccm ni wa kuchinja next Sunday
  Anthony Merinyo
 • Makamba zigo zito CCM   8 years 41 weeks ago
  Umeme ndio injini ya ukuaji wa uchumi popote pale katika zama hizi. Hakuna maendeleo bila umeme kwa sababu hakuna harakati za kiuchumi. link building service|memory foam mattress
  jessie31
 • Kiongozi aina ya Makamba ni janga la kisiasa   8 years 41 weeks ago
  Rais atambue kuwa ukosefu wa umeme ni kubwa kuliko serikali anayoongoza wanavyofikiri. Na ukame haiwezekani ikawa ndio kisingizio. link building service|memory foam mattress
  jessie31