Ni sahihi kwa Dkt Slaa kuibua tena hoja ya ufisadi katika bunge hili?


Printer-friendly versionSend to friend
Ni sawa, serikali haijatoa majibu yanayoridhisha
92% (95 votes)
Si sawa, mafisadi wanashugulikiwa
4% (4 votes)
Ameanza kampeni kabla ya muda
4% (4 votes)
Total votes: 103

Ni sahihi kabisa maana nchi hii ni yetu sisi wote
na kama wachache wanataka kuifanya iwe yao,basi awafichue na sheria ifuate mkondo wake.
Hata wale waliosemekana ni mafisadi ebu Sheria ifanye kweli iwahenyeshe mpaka wengine wajifunze kwao!