Submitted by Joseph Mushi on Mon, 03/05/2010 - 3:21pm.
Na mimi leo nakubaliana na stella kwamba gazeti hili sisi wa mbali tunachelewa kulipata kwenye hard copy kwahiyo tunaomba mtuwekee kwenye soft copy basi, kwa maana leo jumatatu ndio nasoma gazeti la jumatato kweli tunapitwa na habari nyingi
Mhariri tunakuomba utufikirie hilo la kuwekea gazeti kwenye internent soft copy.
Submitted by Stella Damaris on Wed, 28/04/2010 - 8:49am.
Acha nimwunge mkono Joseph Mushi hapo juu kwamba ninalipenda sana gazeti hili.Tatizo ni moja tu - haliwekwi kwenye mtandao kwa wakati mwafaka sisi tulio mbali na nyumbani tukalisoma kwa wakati unaofaa. Hatuwezi kuifikia 'hard copy', tunategemea mtandao kusoma habari za nyumbani. Ndugu Mhariri, tukumbuke na sisi tulio mbali na upeo wa macho ya Tanzania kwa kuliweka gazeti lako mahiri hapa mtandaoni.
Na mimi leo nakubaliana na stella kwamba gazeti hili sisi wa mbali tunachelewa kulipata kwenye hard copy kwahiyo tunaomba mtuwekee kwenye soft copy basi, kwa maana leo jumatatu ndio nasoma gazeti la jumatato kweli tunapitwa na habari nyingi
Mhariri tunakuomba utufikirie hilo la kuwekea gazeti kwenye internent soft copy.
Mwanahalis Big Up, Your news paper Now looks similar to Newyork Times in the website. You are great thinkers and informers. Keep it up.
Mtanzania Halisi
Acha nimwunge mkono Joseph Mushi hapo juu kwamba ninalipenda sana gazeti hili.Tatizo ni moja tu - haliwekwi kwenye mtandao kwa wakati mwafaka sisi tulio mbali na nyumbani tukalisoma kwa wakati unaofaa. Hatuwezi kuifikia 'hard copy', tunategemea mtandao kusoma habari za nyumbani. Ndugu Mhariri, tukumbuke na sisi tulio mbali na upeo wa macho ya Tanzania kwa kuliweka gazeti lako mahiri hapa mtandaoni.
Napenda sana hili gazeti lenye uchambuzi wa kina lisilokuwa na ubabaishaji kabisa
hapana ubabaishaji ulikuwa ni mwingi