HABARI MAHUSUSI

Rais Kikwete atapeliwa

Na Saed Kubenea 15 Jul 2008

Ni katika mradi wa mabilioni
Edward Lowassa ahusishwa

BARAZA la Wadhamini la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), limemtapeli Rais Jakaya Kikwete katika mradi wa mabilioni ya shilingi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Jabir Idrissa 15 Jul 2008

UONGOZI wa kampuni ya Celtel International jijini Dar es Salaam, umeshindwa kujibu tuhuma zinazoukabili kuhusu kutumia mali za TTCL kujiimarisha.

 
Na Saed Kubenea 15 Jul 2008

MWANASIASA kijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UV-CCM).

 
Na Mbasha Asenga 15 Jul 2008

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, limejikuta katikati ya mgogoro wa kisiasa. Ni jambo la fedheha kuona baada ya kufanya kosa kubwa, sasa linalazimika kutumia nguvu nyingi kujisafisha.

 

JANUARI 8, mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete aliunda timu maalum ya kufuatilia wahusika wa ufisadi wa mabilioni ya shilingi yaliyochotwa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Bunge likinyamaza, wananchi wanasema Mwandishi Maalum [463]
Vita Dhidi ya Ufisadi: Nafasi ya vyombo vya habari Rehema Kimvuli [407]
Rostam ajiongezea maadui Saed Kubenea [338]
Ngasongwa: Niko karibu na wananchi William Kapawaga [314]
Serikali isisubiri maafa Yusuph Katimba [290]
08/04/2010