HABARI MAHUSUSI
Mradi wa UV-CCM, kashifa tupu
- Makamba amdanganya Kikwete
- Nchimbi, Isaack wakumbwa na aibu
YUSUPH Makamba, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni mwongo, MwanaHALISI limegundua. Wiki iliyopita Makamba aliwaambia waandishi wa habari kuwa mkataba kati ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na mwekezaji ulikuwa haujatiwa saini.
- Jihabarishe
- [Wasomaji 458]
|
|
TAHARIRI: Hakuna vitisho vitakavyotusimamisha
- Jihabarishe
- [Wasomaji 318]
| Iweje Zanzibar nchi ndani ya Muungano Joseph Mihangwa | [568] |
| CCM kimbilio la hata wahalifu wadogowadogo Stanislaus Kirobo | [537] |
| Uvamizi MwanHALISI, Wasomaji wanasemaje: editor | [476] |
| Muungano wa paka na panya basi | [328] |
| Kiingereza na 'uhuru wa kujiua' Rehema Kimvuli | [313] |
| Tukinyamaza, mafisadi watashinda M. M. Mwanakijiji | [299] |
| Manji anadhamira na Yanga? | [445] |