HABARI MAHUSUSI

Wizi wa mabilioni BoT: Kikwete alidanganya

Na Mwandishi Wetu 09 Sep 2008

RAIS  Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete hakuwa na haja ya kuunda Timu ya Kuchunguza Wizi wa fedha za EPA kwa kuwa anajua kilichotendeka, MwanaHALISI limegundua.

Mafaili ya Benki Kuu yamejaa mawasiliano juu ya udanganyifu mkubwa, hasa uliofanywa na kampuni ya Kagoda Agriculture ambayo pia yatakuwa mikononi mwa Timu yake.

 
Nape Nnauye
Na Saed Kubenea 09 Sep 2008

HALMASHAURI Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inakutana mjini Dodoma. Huu ni mkutano wa pili wa kawaida tangu chama kilipomaliza kikao cha NEC kilichofanyika kijijini Mwitongo, Butiama mkoani Mara, Aprili mwaka huu.

 
Makamu Mwenyekiti CCM, Pius Msekwa
Na Joseph Mihangwa 09 Sep 2008

WAASISI wa demokrasia – nchi za magharibi – huipima Afrika kwa kigezo cha kuwa na vyama vingi hata kama huzaa serikali kandamizi.

 
Waziri wa Kilimo, Steven Wasira
Na Mussa Mkilanya 09 Sep 2008

UKISIKIA viongozi wa serikali wakisema “kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa taifa,” kama hauko makini, huwezi kutambua kuwa wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

 
07/04/2010