HABARI MAHUSUSI

Songas: Kufuru tupu

Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

Kibanda cha walinzi chameza Sh. 40 milioni
Mkandarasi wa ujenzi aagizwa kutoka nje

KAMPUNI ya kufua umeme wa gesi ya Songas ya jijini Dar es Salaam, ambayo inadaiwa kusababisha mgawo wa umeme, imejenga vibanda vya walinzi langoni kwa gharama ya zaidi ya Sh. 40 milioni.

 
Na Mbasha Asenga 30 Sep 2008

VYAMA vya siasa vinavyowania ubunge wa jimbo la Tarime vipo katika kampeni ya kunadi wagombea wake ili wapate ridhaa ya wananchi kuchukua kiti hicho. Jimbo hilo limetokea kuwa moja ya majimbo yenye ushindani mkali wa kisiasa nchini.

 
Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

MBUNGE wa Vunjo (CCM) Aloyce Kimaro, bado anang’ang’ania watuhumiwa wa ufisadi na kusema, “Katika hili, katu sitarudi nyuma.”

 
Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

MCHUNGAJI Christopher Mtikila, ambaye yuko hapa kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa jimbo la Tarime, amefanya kazi kubwa kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko chama chake.

 

TUMECHAPISHA ukurasa wa mbele kilio cha wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme wa gesi, Songas. Hakika ni vurugu tupu.

Tanzania kugeuzwa kinara wa ukoloni mamboleo! Joseph Mihangwa [502]
Hatua ya Marando sahihi Stanislaus Kirobo [477]
Uchonganishi Tarime hapana! Jabir Idrissa [474]
Mpango wa milenia wa UN: Tanzania yabakia nyuma Zaynab Turuku [452]
TANESCO na giza la kujitakia Saed Kubenea [397]
Majaji wenye mkataba hawalindwi na Katiba Alloyce Komba [387]
Msekwa anaturudisha nyuma Ndimara Tegambwage [333]
07/04/2010