HABARI MAHUSUSI

Sakata la Dowans: Serikali kuchafuka upya

Na Saed Kubenea 04 Mar 2009

KELELE za sasa ndani ya serikali kuhusu ununuzi wa mitambo ya Dowans ni jitihada zinazolenga “kukidhi maslahi binafsi,” MwanaHALISI limegundua.

 
Na Mbasha Asenga 04 Mar 2009

KAULI imetolewa. Inataka viongozi wastaafu wa kisiasa waache kuikosoa serikali kwa sababu wakiwa madarakani wametenda mengi ambayo hayakufikia viwango vya matarajio ya wananchi.

 
Na Mwandishi Wetu 04 Mar 2009

Kazi ya Kamati ya Bunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushughulikia malalamiko na matamshi ya mbunge wa Mvomelo, mkoani Morogoro, Suleman Sadiq, sasa imekuwa ndogo.

 
Na Mwandishi Wetu 04 Mar 2009

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon ameondoka nchini baada ya ziara yake ya kihistoria bila kujua mambo mengi yanayoikabili Tanzania.

 

KATIKA hali ya kawaida, haitegemewi serikali kutumia bunge kutekeleza mambo yake; wala haitarajiwi bunge kufanya kazi zake kwa kuitumia serikali.

06/04/2010