HABARI MAHUSUSI
Mabilioni yakusanywa kumwangusha Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete atahitaji kutumia nguvu mara tatu kukabiliana na “genge” linalotaka kumzuia kugombea urais kwa kipindi cha pili, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa zilizopatika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zilisema, wanaotaka kumzuia Kikwete kugombea urais kwa kipindi cha pili, wamepanga kutumia, na tayari wamekusanya Sh. 2.5 bilioni kwa shughuli hiyo.
- Jihabarishe
- [Wasomaji 339]
|
|
|
| DPP Feleshi: Kagoda itakumwagia upupu Saed Kubenea | [495] |
| Baraza la Wawakilishi laandika historia Jabir Idrissa | [455] |
| Tumeshindwa kila mahali Stanislaus Kirobo | [422] |
| Kigogo ang'olewa Bima | [410] |
| Wanaompigia Kikwete kampeni, wanaogopa nini? M. M. Mwanakijiji | [363] |
| Wananchi wanapoitwa 'wavamizi' Kilosa Ndimara Tegambwage | [338] |