HABARI MAHUSUSI

Masha agonganisha serikali na Ujerumani

Na Saed Kubenea 28 Apr 2009

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha
Atuhumiwa kutumia madaraka vibaya
Ubelgiji nayo kukoromea serikali

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha ameingiza serikali katika mgogoro mkubwa na wafadhili kutokana na madai ya matumizi mabaya ya madaraka, MwanaHALISI limeelezwa.

 
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi
Na Mwandishi Wetu 28 Apr 2009

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amechukua ujasiri wa kipekee na kutaja baadhi ya raia nchini kuwa ni “mafisadi papa.”

 
Mama Anna Mkapa
Na Aristariko Konga 28 Apr 2009

LEO 29 Aprili, Anna Mkapa anatimiza miaka 67. Ni yule mke wa rais mstaafu Benjamin Mkapa aliyekuwa mpangaji wa ikulu kati ya 1995 na 2005.

 
Finias Bryceson Magessa
Na Aristariko Konga 28 Apr 2009

SI muda mrefu jina jipya litaingia katika historia ya uongozi wa siasa nchini. Ni Finias Bryceson Magessa. Anagombea ubunge wilayani Geita, mkoani Mwanza.

 

TANGU afichue dhambi ya mapato makubwa ya wabunge, Mbunge wa Karatu, Dk. Willibrod Slaa amekuwa akisakamwa na wabunge wenzake.

Sophia Simba zao la mafisadi? Mbasha Asenga [1,833]
Rostam umelisikia hili? Said Shango [1,616]
Huu Muungano wa kijeshi? Ndimara Tegambwage [1,449]
Ghasia: Hakuna siri ya uovu M. M. Mwanakijiji [1,440]
Serikali imlete Ballali mahakamani Saed Kubenea [1,339]
Kuna ukame wa viongozi waandilifu Joseph Mihangwa [1,328]
Muungano umekosa uongozi uliotukuka Jabir Idrissa [1,258]
Chuji, Boban fikirieni mara mbili Steve Mwasubila [1,422]
04/04/2010