HABARI MAHUSUSI

Serikali ya JK yapata kiwewe

Na Saed Kubenea 16 Jun 2009

Ni baada ya wabunge kuikomalia
Spika aacha mawaziri wasulubiwe

BAJETI imeleta kiwewe. Wabunge wamekuwa mbogo kwa kuikamia serikali. Kila mmoja anaongelea masuala ya jimboni mwake kama kwamba uchaguzi mkuu ni kesho.

 
Na Mwandishi Wetu 16 Jun 2009

MWANACHAMA Na. 146 na mmoja wa waasisi wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilfred Muganyizi Lwakatare (47), amejiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya chama chake.

 
Na Stanislaus Kirobo 16 Jun 2009

KAULI ya Hawa Ghasia, Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), kwamba wizara zina watendaji wengi ambao wanaweza kufanya kazi hata kama mawaziri hawapo, ni ya kukurupuka.

 
Na Aristariko Konga 16 Jun 2009

GETRUDE Mongela aling’olewa kwenye urais wa Bunge la Afrika (PAP) baada ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kuingilia kati na kutishia kufunga ofisi za bunge hilo, MwanaHALISI limeelezwa.

 

KWA mwaka wa fedha unaomalizika Juni 2009, serikali ilishindwa kukusanya Sh. 652 bilioni zikiwa sehemu ya matarajio ya matapo yake iliyojipangia.

Bonde la Rufiji hazina tupu William Kapawaga [464]
Bajeti: Serikali yajaribu kitanzi Saed Kubenea [367]
Ubeberu wanona kwa mgongo wa malaria Ndimara Tegambwage [357]
Rais Kikwete ametuangusha Jonathan Liech [354]
Vikosi vya pili klabuni wizi mtupu! Walter Kitosi [375]
03/04/2010