HABARI MAHUSUSI

Udini wateka bunge

Na Saed Kubenea 07 Jul 2009

KIRUSI kimeanza kulimung’unya Bunge. Ni udini. Baadhi ya wabunge wanalalamika kuwa wanasakamwa kutokana na imani za kidini.

 
Na Mwandishi Wetu 07 Jul 2009

SERIKALI inatayarisha mpango wa kufundisha watoto wengi kupitia mwalimu mmoja kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya kompyuta.

 
Na Mbasha Asenga 07 Jul 2009

WATANZANIA tumeamua kuwa taifa la watu wa ovyo! Ni watu wa ovyo hasa. Kutotaka kutenda kwa kufuata sheria wala taratibu katika taifa linalojivuna kwa umaarufu miongoni mwa mataifa yanayoendelea, ni kitu cha ovyo kabisa.

 
Na Jabir Idrissa 07 Jul 2009

WAZIRI Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, ametoa kali. Anasema haoni faida yoyote katika utaratibu wa maswali ya papo kwa papo ndani ya Baraza la Wawakilishi (BLW).

 
03/04/2010