HABARI MAHUSUSI

Njama kumng'oa Spika Sitta zafichuka

Na Saed Kubenea 11 Aug 2009

Mtuhumiwa kashfa ya Richmond na Spika wa Bunge
Genge lajipanga kutumia NEC
Kikwete kuwekwa njia panda

NJAMA za kumwangamiza kisiasa Spika Samwel Sitta zimegundulika kabla waandaaji wake kuzifikisha kwenye vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz
Na Mwandishi Wetu 11 Aug 2009

ZAMA za mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kushinda kinyang'anyiro cha ubunge bila kupingwa ndani ya chama chake, sasa zimefikia tamati, imefahamika.

 
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Malecela
Na Mbasha Asenga 11 Aug 2009

NILISOMA kwa makini kauli ya Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Malecela, aliyotoa Alhamisi iliyopita alipozungumza na waandishi wa habari aliowaalika nyumbani kwake, Sea View, jijini Dar es Salaam, kushuhudia tukio la kukabidhiwa misaada mbalimbali ya wenye ulemavu.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Nicoline John 11 Aug 2009

MWAKA kesho ni mwaka wa uchaguzi. Tayari Rais Jakaya Kikwete amenukuliwa akijitapa kwamba yeye na chama chake watatimiza kile walichoahidi kabla na baada ya kuingia madarakani. Anasema atafanya hivyo, kabla ya uchaguzi mkuu mwingine kufanyika.

 

WIKI iliyopita polisi walitangaza kutokea kwa milipuko miwili ya mabomu ya baruti (TNT) kisiwani Pemba.

Mikopo ya Bayport yaliza walimu Steve Mwasubila [2,665]
Lucy Owenya: Ninastahili, sikubebwa [2,264]
Rushwa yazidi nguvu sheria ya Ardhi Alloyce Komba [1,925]
Mtoto wa mkulima ameanza kupoteza imani Godlisten Malisa [1,810]
Wafugaji 'wakirudi kwao' itakuwaje? Ndimara Tegambwage [1,369]
Ni kweli Kikwete ameshindwa Haji AmeirAmeir [1,308]
02/04/2010