HABARI MAHUSUSI

Kanisa lamweka pabaya Kikwete

Na Saed Kubenea 01 Sep 2009

UHUSIANO kati ya serikali na kanisa umeingia doa na unaweza kuvunjika. Kanisa limekataa amri za serikali. Katika hali isiyo ya kawaida, kanisa limeieleza serikali kuwa haliwezi kutafuta ushauri kwake kila linapotaka kuwasiliana na waamini wake.

 
Zitto Kabwe
Na Mwandishi Wetu 01 Sep 2009

SIRI ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe kuondoa jina lake katika kinyang’anyiro cha uenyekiti wa chama chake imejulikana.

 
Mwinyi, Kikwete na Mkapa
Na Dunia Ibrahim 01 Sep 2009

MAKALA sita zilizochapishwa mfululizo katika MwanaHALISI wiki tano zilizopita, ndizo zilizonisukuma kupata ujasiri wa kumtetea Rais Jakaya Kikwete, dhidi ya hoja za wapinzani wake wa kisiasa.

 
Kingunge Ngombale Mwiru
Na Mbasha Asenga 01 Sep 2009

KINGUNGE Ngombale-Mwiru, mwanasiasa mkongwe, wiki iliyopita alifanya kitu ambacho alipaswa kukifanya siku nyingi zilizopita.

 

KAMATI iliyoundwa kuchunguza chanzo cha milipuko ya mabomu Mbagala, wilayani Temeke, Dar es Salaam, imekabidhi ripoti yake kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Ali Mwinyi

Maji Marefu sasa ataka ubunge Aristariko Konga [1,825]
Maiti moja, makaburi mawili Mussa Mkilanya [1,631]
Waislamu waja na 'Muongozo' wa uchaguzi [1,489]
Acha Spika afanye kazi M. M. Mwanakijiji [1,398]
Vitambulisho vimeanza kutafuna wakubwa Jabir Idrissa [1,318]
Shirikisho EAC bila haya ni ndoto Nicoline John [1,216]
02/04/2010