HABARI MAHUSUSI
Afya ya Kikwete yazua mjadala
AFYA ya Rais Jakaya Kikwete sasa imekuwa mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi wa rika tofauti. Kufuatia rais kuishiwa nguvu, kushindwa kusimama na kukatisha hotuba mjini Mwanza mwishoni mwa wiki, wananchi waliohojiwa na gazeti hili wamesema, kwa njia mbalimbali, kuwa afya ya rais inastahili kuchunguzwa kwa makini.
- Jihabarishe
- [Wasomaji 551]
|
|
|
TAHARIRI: Tushiriki uchaguzi wa mitaa
- Jihabarishe
- [Wasomaji 307]
| JK angalia boriti jichoni mwako ndipo... | [367] |
| Ee Mungu nani katulaani na mikataba hii? Mbasha Asenga | [325] |
| Wizara zirejeshe fedha za CIS Editha Majura | [309] |
| Nakagawa: Waziri wa Japan aliyetia aibu taifa lake kwa ulevi Zakaria Malangalila | [315] |