HABARI MAHUSUSI

Pinda akumbana na 'madudu' ya Lowassa

Na Saed Kubenea 13 Jan 2010

MABILIONI ya shilingi za walipa kodi, ambayo Edward Lowassa alishinikiza yalipwe kwa kampuni ya kutengeneza matairi ya General Tyre (GT), yameteketea.

 
Na Mwandishi Wetu 13 Jan 2010

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameibua mjadala mwingine. Anasema siasa halikuwa "chaguo la kwanza" katika maisha yake.

 
Na Mwandishi Wetu 13 Jan 2010

HATUA ya Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika kufungia gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi ilijulikana miezi 11 iliyopita, imebainika.

 
Na Mwandishi Wetu 13 Jan 2010

MAISHA ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, yanatajwa kuwa hatarini.

 

KWA mara nyingine, serikali ya Rais Jakaya Kikwete imekosea. Imetumia ubabe. Ilipofungia gazeti hili Oktoba mwaka 2008 ilipuuza uhuru wa habari.

25/03/2010