HABARI MAHUSUSI

Ikulu yanuka ukabila

Na Saed Kubenea 24 Mar 2010

Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo

RAIS Jakaya Kikwete sasa anatikiswa kwa tuhuma kwamba ikulu imekumbwa na ukabila, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa zinasema tuhuma hizo tayari ziko mezani kwake na zinamhusu mtendaji mkuu wa ikulu.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 24 Mar 2010

SHERIA ya uchaguzi iliyosainiwa kwa mbwembwe na Rais Jakaya Kikwete, imetajwa kuwa “imekufa kabla ya kutumika.”

 
Na M. M. Mwanakijiji 24 Mar 2010

NINAZO habari nzuri na habari mbaya. Habari nzuri ni kuwa hatimaye sasa tunajua kuwa waliozika Azimio la Arusha wamegundua kwamba walifanya makosa. Habari mbaya ni kuwa chama kilichosimamia maziko ya Azimio hilo hakiwezi kamwe kulirudisha.

 
Aliyekuwa Waziri wa  Miundombinu, Andrew Chenge
Na Mbasha Asenga 24 Mar 2010

“SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL,” hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge.

 

SERIKALI haitaki wafugaji wa Tarime, wakulima wa Rukwa na mikoa ya Kusini wanenepe. Hairuhusu wakulima wa mahindi wa Rukwa wauze mahindi nchi jirani; wafugaji wa Tarime wauze mifugo yao Kenya na wakulima wa korosho wa mikoa ya Kusini wauze korosho zao kwa wanunuzi binafsi.

26/03/2010