HABARI MAHUSUSI

Anne Kilango: Wanataka kuniua

Na Joster Mwangulumbi 09 Jun 2010

VITA vya kuwania ubunge Jimbo la Same Mashariki vimechukua sura mpya baada ya mbunge wa jimbo hilo, Anne Kilango-Malecela kudai mpinzani wake anataka kumaliza maisha yake na uzao wake.

 
Na M. M. Mwanakijiji 09 Jun 2010

NILIPOANDIKA kwamba Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, agombee ubunge au asigombee, sikupanga kurudi kumjadili. Nimelazimika kumjadili tena, baada kushutumiwa na mmoja wa mashabiki wake.

 
Na Saed Kubenea 09 Jun 2010

KODI! Kodi! Kodi, ndio mwelekeo wa Bajeti ya Taifa inayotarajiwa kutangazwa kesho.

 

MKUTANO wa 20 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioanza jana mjini Dodoma unatarajiwa kuwa wa wiki tano tu badala ya miezi mitatu.

15/06/2010