HABARI MAHUSUSI

Lowassa aibua mapya

Na Saed Kubenea 21 Jul 2010

MADAI mapya ya Edward Lowassa, yule waziri mkuu aliyejiuzulu, kwamba hata kama angekuwa madarakani angeendelea kushirikiana na kampuni ya Richmond, yameibua mapya.

 
Na Jabir Idrissa 21 Jul 2010

MAUAJI ya Profesa Jwani Timothy Mwaikusa, sasa yanahusishwa na wauaji kutoka nchi jirani, MwanaHALISI limeambiwa.

 
Na M. M. Mwanakijiji 21 Jul 2010

MBUNGE wa Monduri, Edward Lowassa ameibuka.
Amedai tena kwamba hata akiamshwa usingizini leo hii na kuulizwa kama angebadili maamuzi yake na jinsi alivyoshughulikia suala la Richmond, bado maamuzi yake yatakuwa yaleyale.

 
Na Mwandishi Wetu 21 Jul 2010

NI mwandishi wa habari mzoefu aliyeingia katika nyanya ya uongozi wa mashirika makubwa. Ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Sasa anataka kuingia ndani ya siasa za vyama.

 

KWA muda wa wiki moja iliyopita kumekuwa na habari njema juu ya maendeleo ya utafiti wa dawa ya kuzuia na kutibu ugonjwa wa ukimwi.

24/07/2010