HABARI MAHUSUSI

Ushindi wa Dk. Slaa kuimarisha Bunge

Na Mwandishi Wetu 04 Aug 2010

Dk. Willibrod Slaa
Mahasimu waweza kuwa upinzani
Wakongwe waaga kwa msononeko

USHINDI wa Dk. Willibrod Slaa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, ndio pekee unaoweza kumaliza mivutano iliyokumba bunge lililopita, MwanaHALISI imebaini.

 
Dk. Willibrod Slaa
Na Ndimara Tegambwage 04 Aug 2010

Ufuatao ni mrejesho wa baadhi ya wasomaji 417 waliotutumia ‘sms’ juu ya mwandishi, maudhui ya makala na somo lenyewe – Dk. Willibrod Slaa.

 
YUSUF Makamba
Na Nkwazi Mhango 04 Aug 2010

CHAMA chochote cha siasa kikibinafsishwa na wafanyabiashara na kikajivua jukumu la ukombozi lililolengwa na waasisi wake, basi hugeuka kuwa moja wa maadui wa wananchi.

 
Edward Lowassa
Na Mwandishi Maalum 04 Aug 2010

NIMEBAHATIKA kusoma makala mbili katika gazeti lako zinazomzungumzia mwanasiasa aliyekamilisha kutumikia ubunge jimboni Monduli, Edward Lowasa kuhusiana na kile kinachoitwa, “Lowassa na sakata la Richmond."

 

MARA baada ya Rais Jakaya Kikwete kuchukua fomu za kuwania kutetea kiti cha urais, alikwenda kwenye ofisi ndogo za makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mtaa wa Lumumba kuzungumza na wananchi.

Tunataka mdahalo wa wagombea urais Ezekiel Kamwaga [3,306]
Makamba kumsifia Lipumba ni uchuro Saed Kubenea [2,816]
CCM wanamhitaji Dk. Slaa Mwandishi Maalum [2,698]
CCM wapata funzo kura ya maoni Ndimara Tegambwage [2,444]
Majimbo ya mawaziri yakataa serikali ya umoja wa kitaifa Jabir Idrissa [2,039]
CCM inakimbilia siasa za maangamizi Mbasha Asenga [1,726]
Kama Ghana; kwa ari na nguvu zaidi Ezekiel Kamwaga [2,024]
Paulsen tutakupa ushirikiano, wewe tupe ushindi Joster Mwangulumbi [1,792]
05/08/2010