HABARI MAHUSUSI

Serikali yafadhili kampeni za CCM

Na Saed Kubenea 11 Aug 2010

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Salva Rweyemamu
Msemaji ikulu agoma kuongea

MABILIONI ya shilingi yatachotwa kutoka serikalini kugharamia kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Ezekiel Kamwaga 11 Aug 2010

MKAKATI wa “kuwatosa” viongozi wanne waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwemo waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa umekamilika.

 
Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Mr. II
Na Ezekiel Kamwaga 11 Aug 2010

MIEZI michache iliyopita, niliona picha ya msanii maarufu wa muziki nchini, Ambwene Yesayah (AY), akimchangia kiasi cha Sh 100,000 mwanahabari Violeth Mzindakaya, kumsaidia kuwania ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu.

 
Jaji Lewis Makame, Mwenyekiti wa NEC
Na Ndimara Tegambwage 11 Aug 2010

YALE yanayoitwa “maadili,” ambayo vyama vya siasa vinatakiwa kusaini na kufuata wakati wa kampeni na uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, hayatekelezeki.

 

MARA baada ya Frederick Werema kuteuliwa kushika wadhifa wa mmwanasheria mkuu wa serikali kuchukua nafasi ya Johnson Mwanyika, alitangaza msimamo wake kwamba hafungamani na chama chochote cha siasa.

14/08/2010