HABARI MAHUSUSI

Kiwewe kitupu CCM

Na Saed Kubenea 01 Sep 2010

Mabere Marando

KOMBORA lililorushwa na muasisi wa mageuzi nchini, wakili wa mahakama kuu, Mabere Marando limetia kiwewe Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya wasaidizi wake, MwanaHALISI limeelezwa.

 
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete
Na Ndimara Tegambwage 01 Sep 2010

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete amedondosha ahadi Bukoba mjini kwa maratajio ya kuchota kura. Anatafuta kuendelea kupanga ikulu.

 
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrance Mash
Na Ezekiel Kamwaga 01 Sep 2010

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha, anadaiwa kusema uongo katika pingamizi lake kwa mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.

 
Abdulrahman Kinana
Na Saed Kubenea 01 Sep 2010

KAULI ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kwamba chama chake hakihusiki na ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanyika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeibua mengi.

 

WAANDISHI wa habari waliotembelea vijiji vinavyopakana na hifadhi ya wanyamapori, upande wa Kilosa, mkoani Morogoro hivi karibuni walishuhudia ukatili mkubwa dhidi ya wanyama.

JK bingwa wa kufanya kinyume Joster Mwangulumbi [2,352]
Kikwete aanguke mara ngapi tujue anaumwa? Joster Mwangulumbi [2,221]
Kumbe CCM ni chui wa karatasi? Mbasha Asenga [1,784]
Wabunge waliobebwa ni batili M. M. Mwanakijiji [1,764]
Lugha moja, watu tofauti Ezekiel Kamwaga [1,697]
TEMCO washupalia serikali Ezekiel Kamwaga [1,557]
Upinzani haujajijenga kuishinda CCM John Kibasso [1,419]
Mafuriko ya kihistoria yaivuruga Pakistan [1,341]
Poulsen: Mwanzo mzuri Yusuf Aboud [1,549]
04/09/2010