HABARI MAHUSUSI

Salma Kikwete kortini

Na Saed Kubenea 15 Sep 2010

Salma Kikwete

SALMA Kikwete, mke wa rais anayemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete, aweza kuburuzwa mahakamani kujibu matumizi mabaya ya mali ya umma, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Batilda Burian, mgombea wa CCM jimbo la Arusha mjini
Na Mwandishi Wetu 15 Sep 2010

KINYANGANYIRO cha ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kimepamba moto. Wagombea watano kutoka vyama tofauti wanachuana kuwania nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Felex Mrema (CCM).

 
Hussein Bashe
Na Saed Kubenea 15 Sep 2010

KITENDAWILI cha uraia wa Hussein Bashe, mgombea ubunge Nzega (CCM) aliyeenguliwa, kimeibua mapya.

 
Mgombea Urais wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete
Na Ezekiel Kamwaga 15 Sep 2010

ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazokinzana, imegundulika.

 

MARA baada ya kuanza rasmi kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, tulitoa angalizo kwa vyombo vya dola vijipange vilivyo ili kuhakikisha vinalinda usalama wa watu wakati wa kampeni.

Midahalo ya wazi itaiumbua CCM Nkwazi Mhango [3,321]
Tanzania bila Kikwete inawezekana Joster Mwangulumbi [3,027]
Kikwete, viko wapi vyama vya msimu? Hilal K. Sued [2,917]
Ikulu katika mgogoro [2,755]
Uhafidhina umewakimbiza kwenye mdahalo Mbasha Asenga [2,318]
Lowassa, unaitwa Kigamboni [2,294]
Heshima ya mwanamke kwanza, CCM baadaye Joster Mwangulumbi [2,051]
Ufisadi umewashinda CCM M. M. Mwanakijiji [1,999]
Hatujui au tunafanya kusudi? Ezekiel Kamwaga [1,958]
CUF yapania kufuta vidonda vya zamani Jabir Idrissa [1,943]
Ikulu imeshindwa, korti imeweza Paschally Mayega [1,906]
Dunia yadadisi ulipuaji Sept. 11 Hilal K. Sued [2,224]
Yanga yaelemewa na wachezaji [2,636]
17/09/2010