HABARI MAHUSUSI

Pinda atajwa mauaji Arusha

Na Saed Kubenea 12 Jan 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

JITIHADA za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuepusha maafa mjini Arusha, zilihujumiwa na serikali, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Rostam  Aziz
Na Saed Kubenea 12 Jan 2011

MJUMBE wa Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz ni moja ya nguzo kuu ndani ya kampuni ya kufua umeme ya Dowans, imefahamika.

 
Yusuf Makamba
Na Mbasha Asenga 12 Jan 2011

UKIMSIKILIZA mtu anayeitwa Yusuf Makamba, katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huwezi kukwepa kufikia hitimisho kwamba madaraka ndani ya chama tawala yamerahisishwa sana.

 
IGP Said Mwema
Na Ndimara Tegambwage 12 Jan 2011

MFUMO wa watawala wa kukusanyia na kusafirishia taarifa, hasa za “usalama,” umeziba. Aliyeuziba anafahamika. Ni CCM au kwa jina maarufu la utani, “chama cha mapinduzi.”

 

INASIKITISHA kwamba mwenye madaraka hataki kuyaachia hata kwa sheria za mazonge zilizopo. Anatumia nguvu kuyahifadhi. Hiyo inaashiria kuchoka kufikiri.

Tamko la CHADEMA mauaji Arusha [5,771]
Salva ikulu imebaki uchi Joster Mwangulumbi [3,261]
Makamba zigo zito CCM Josephat Isango [3,027]
Kikwete ameanza kumwaga damu Paschally Mayega [2,942]
Rais kadandia meli iliyong’oa nanga John Aloyce [2,898]
Nina ‘taarifa za Intelijensia’ Ezekiel Kamwaga [2,353]
Salva akwepa hoja, akimbilia matusi Mtega Mustapha [2,271]
Salamu kwako Balozi Seif Idi Jabir Idrissa [2,034]
Dowans inatusukuma kudai katiba mpya [2,028]
ZFA wachokoza hasira za CAF Jabir Idrissa [1,748]
14/01/2011