HABARI MAHUSUSI

Vijana CCM wamgeuka Kikwete

Na Saed Kubenea 23 Mar 2011

Wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa CCm

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), umemgeuka Rais Jakaya Kikwete.

 
Rostam Aziz
Na Jabir Idrissa 23 Mar 2011

MPANGO wa wamiliki wa kampuni ya Dowans kuizunguka serikali na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kujinufaisha kiuchumi umegundulika.

 
ZITTO Kabwe
Na Saed Kubenea 23 Mar 2011

ZITTO Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini, amejiingiza katika kazi isiyomhusu. Sasa ametumbikiza hadi Kamati ya bunge ya kusimamia hesabu za mashirika ya umma (POAC) katika “mradi” wa kutetea Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

 
Yusuf Makamba na Ibrahim Lipumba
Na Mwandishi Wetu 23 Mar 2011

KAMA viongozi wa NCCR-Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Labour Party (TLP) na United Democratic Party (UDP) wangekaa chini na kupima sababu za kuporomoka kisiasa kwa Mchungaji Christopher Mtikila wa DP, wasingekubali mwaliko wa ikulu kunywa sifongo.

 

UMOJA wa Mataifa (UN), kwa kufuata mapendekezo ya mataifa yenye nguvu kiuchumi na kijeshi, wiki iliyopita, ulipitisha azimio tata la kuzuia ndege za serikali ya Libya kuruka nchini kwake.

Usiri hatari migodini Yusuf Aboud [8,991]
Mbunge akamia mgodi wa dhahabu Nzega Joster Mwangulumbi [2,061]
‘Dhahabu ya damu’ ya Bulyanhulu Joster Mwangulumbi [1,999]
DIWANI YUSUPH: Napigania elimu, afya na ulinzi Yusuf Aboud [1,956]
Tulipo sasa: Laana ya kina Rweyemamu? Ezekiel Kamwaga [1,952]
Magufuli ameachwa njia panda M. M. Mwanakijiji [1,927]
Wananchi kuandamana kupinga Barrick Joster Mwangulumbi [1,810]
Kweli Mkulo ameshiba, sasa anatukejeli Mbasha Asenga [1,727]
DC Biharamulo azinduka Yusuf Aboud [1,661]
Kamati Maalum UVCCM: Itashughulikia uhai au msiba? Mwandishi Maalum [1,649]
Serikali haiwataki, chama hakiwasaidii Joster Mwangulumbi [1,462]
Uhuru gani anaolenga Dk. Mwinyihaji? Jabir Idrissa [1,361]
‘Hatutaki mgombea asiyekigawa chama’ Kondo Tutindaga [1,301]
Taifa Stars tafuna sasa Les Fauves Joster Mwangulumbi [1,485]
29/03/2011