HABARI MAHUSUSI

Dk. Slaa: Kikwete ahadaa wananchi

Na Jabir Idrissa 06 Apr 2011

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete

MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, umeelezwa kuwa ni kitanzi kwa wananchi.

 
Edward Lowassa
Na Mwandishi Wetu 06 Apr 2011

JUHUDI za waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, kujisafisha mbele ya jamii, zimegonga mwamba baada ya kubainika kuwa ni serikali iliyoingiza kampuni ya Richmond katika mkataba wa kufua umeme.

 
Profesa  Abdallah Jumbe Safari
Na Ezekiel Kamwaga 06 Apr 2011

UAMUZI wa mwanaharakati maarufu wa haki za waislamu,  Profesa Abdallah Jumbe Safari (59) kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), umetikisa siasa za Tanzania.

 
James Mbatia na Ibrahim Lipumba
Na Jabir Idrissa 06 Apr 2011

TAZAMA picha hii: Profesa Ibrahim Lipumba na James Mbatia wamesimama pamoja jukwaani. Mikono yao miwili imeshikamana. Profesa ndiye ameshika mkono wa kushoto wa Mbatia kwa kutumia mkono wake wa kulia. Ameuinua juu na anapiga mayowe ya mshikamano.

 

MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, haufai kuwasilishwa bungeni. Haufai kuwa sheria.

Uislam wa CCM na Ukiristo wa CHADEMA Kondo Tutindaga [4,115]
Kikwete atajwa mradi wa kuua magazeti Saed Kubenea [3,475]
Wazungu hawana haki ya kushambulia Libya Yoweri Kaguta Museveni [2,342]
Jaji Hamid anaondoka, anajivunia lipi? Jabir Idrissa [2,227]
Kikombe cha Babu, kinafundisho M. M. Mwanakijiji [2,156]
CCM yazidi kutota: Huku moto, huku baridi Saed Kubenea [1,994]
Serikali haitaki Katiba Mpya [1,918]
CCM wanasubiri nguvu ya umma Joster Mwangulumbi [1,899]
Omba Mungu ‘watu hao wawili wapatane’ Ezekiel Kamwaga [1,867]
Hila katika uandaaji katiba zitaligharimu taifa Mbasha Asenga [1,719]
ZFA, huu ndio uanamichezo Joster Mwangulumbi [1,685]
14/04/2011