HABARI MAHUSUSI

Lowassa, Rostam kumzima Kikwete

Na Saed Kubenea 08 Jun 2011

Rostam Aziz
Waahidi kumlipua vikaoni
CCM hatihati kuvunjika

HATUA yoyote ya Rais Jakaya Kikwete kutaka kuwafukuza ndani ya Chama Chaa Mapinduzi (CCM) wanaowaita “watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini,” yaweza kumuumiza mwenyewe, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Viongozi wa CHADEMA wakiwa mahakamani
Na Alfred Lucas 08 Jun 2011

MKAKATI wa makusudi umesukwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kudhoofisha jitihada za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mbunge wa CHADEMA, Lucy Owenya akishambuliwa na polisi
Na Ndimara Tegambwage 08 Jun 2011

NJIA bora ya kuharakisha mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania ni kubughudhi viongozi wa upinzani kila kukicha.

 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
Na Saed Kubenea 08 Jun 2011

CHAMA cha Wananchi (CUF) chaweza sasa kuwa kinatoka usingizini? Lakini wapo wanaosema, “Kinatafuta shuka wakati tayari kumekucha.”

 

SERIKALI inatarajiwa wiki hii kuwasilisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha wa 2011/2012 kwenye bunge la bajeti.

Sitta, Dk. Mwakyembe hawatoki CCJ - Ng’hily Jabir Idrissa [3,034]
Mbowe sasa amefungua njia M. M. Mwanakijiji [2,383]
Elimu bora haitafikiwa tusipobadilika [2,027]
Eeh, hata mimi natishiwa kifo! Joster Mwangulumbi [1,977]
Bajeti mpya ndani ya usiri mchafu Jabir Idrissa [1,836]
Serikali inachochea kuchukiwa Joster Mwangulumbi [1,779]
Mwema epusha polisi na mambo ya ovyo Mbasha Asenga [1,735]
Dola inadhalilisha Bunge Kondo Tutindaga [1,665]
Polisi wa Mara wamekubuhu ukatili Nyaronyo Kicheere [1,598]
Undumila kuwili wa Marekani unazidi kila siku Zakaria Malangalila [1,877]
Fomula ya Stars kufuzu kimiujiza Joster Mwangulumbi [1,555]
11/06/2011