HABARI MAHUSUSI

Rais Jakaya Kikwete aanikwa

Na Saed Kubenea 07 Sep 2011

Rais Jakaya Kikwete

MAISHA binafsi ya Rais Jakaya Kikwete, kabla na baada ya kuwa rais yameanza kuanikwa duniani kote kwa njia ya mtandao ambako anatuhumiwa hata “kupewa zawadi ya suti” na fedha taslimu.

 
KATIBU Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo
Na Paschally Mayega 07 Sep 2011

KATIBU Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, hivi karibuni alitajwa kwa jina bungeni kuwa ametengeneza mtandao wa viongozi wa kabila la Wabena katika Wizara ya Maliasili na Utalii. Mtandao huko uko Idara ya Wanyamapori.

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Jacob Daffi 07 Sep 2011

PAMOJA na majigambo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba kitashinda uchaguzi mdogo wa ubunge jimboni Igunga, mkoani Tabora, Rais mstaafu Benjamin Mkapa anayekwenda kuzindua kampeni zake anaweza kuvuna aibu.

 
Dk.  Didas Masabauri, Meya wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam
Na John Mnyika 07 Sep 2011

UUZAJI hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), lililoanzishwa Mei 1974 na serikali kumiliki asilimia 100 za hisa zake, bado umejaa utata.

 

WIKI iliyopita Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alionya kwamba kuwepo kwa viongozi wengi wasio waadilifu, wenye uchu wa mali na wanaojilimbikizia mali nchini kunahatarisha amani na utulivu.

12/09/2011