HABARI MAHUSUSI

Kikwete, Lowassa hapatoshi

Na Saed Kubenea 30 Nov 2011

HATIMAYE Edward Lowassa ametoka hadharani na kuonyesha kuwa anataka kupimana ubavu na Rais Jakaya Kikwete.

 
Na Fred Okoth 30 Nov 2011

RAIS Jakaya Kikwete hakufahamu kwa undani kilichomo kwenye muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba (Constitutional Review Bill 2011), uliopitishwa na bunge hivi karibuni, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Saed Kubenea 30 Nov 2011

RIPOTI ya Kamati Teule ya Bunge iliyochunguza mkataba tata kati ya serikali na kampuni ya kufua umeme wa dharula ya Richmond Development Company (RDC), hatimaye “imekamilika.”

 
Na Kondo Tutindaga 30 Nov 2011

UKURASA mpya kuhusu sakata la Richmond, umefunguliwa baada ya mambo mawili kutokea katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), vilivyomalizika mjini Dodoma Alhamisi iliyopita.

 

MAHAKAMA – moja ya mihimili mitatu mikuu inayounda dola katika taifa letu – kutajwa kama taasisi ya umma kinara wa rushwa, ni hatari.

Namhurumia rais wangu Kikwete Nyaronyo Kicheere [2,141]
Lowassa: Hii ni furaha ya muda Mayage S. Mayage [1,962]
Walimu wakuu wajichongea Mbinga Joster Mwangulumbi [1,794]
Siasa chafu za CCM zinavuruga Zanzibar Jabir Idrissa [1,710]
Taifa letu linapelekwa wapi? Paschally Mayega [1,644]
Tanganyika ‘yaibuka’ kinyemela Josephat Isango [1,615]
CCM watamtosa Kikwete Joster Mwangulumbi [1,604]
Bunda walalamikia kiwanda Anthony Mayunga [1,420]
CCM wanahitaji maridhiano, hakuna aliye msafi ndani yao Mbasha Asenga [1,366]
Zanzibar hatarini kupotea Harith Ghassany [1,351]
Mamilioni yafukuliwa shambani kwa waziri wa zamani Zakaria Malangalila [1,709]
Rais Sata akwepa kufanya safari za nje kiholela…. Zakaria Malangalila [1,401]
Tenga, hatuna la kujivunia Cecafa Elius Kambili [1,276]
08/12/2011