HABARI MAHUSUSI

Dk. Mwakyembe akataa kujiuzulu

Na Alfred Lucas 21 Mar 2012

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hana mpango wa kujiuzulu.  “Nitapambana humuhumu ndani ya serikali,” amesema bila kutaja atapambana na nani.

 
Na Mwandishi Wetu 21 Mar 2012

MAEGESHO ya magari mbele ya masoko makuu ya Mlimani City yameelezwa kuwa “si salama.”

 
Na Kondo Tutindaga 21 Mar 2012

TWENDE Arumeru Mashariki ambako kampeni za uchaguzi mdogo zinaendelea. Washindani wakuu ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrsia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Na Mwandishi Wetu 21 Mar 2012

POLISI Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam wanamsaka Mkuu wa Wilaya ya Tarime,  John Henjewele kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mdogo wake wa kike, Rose Henjewele.

 

TUMECHAPISHA katika toleo hili, ukurasa wa tisa hadi 12, taarifa na habari za uchunguzi juu ya usafiri katika vyombo vya majini.

27/03/2012