HABARI MAHUSUSI

Baraza jipya la Mawaziri hiloo

Na Jabir Idrissa 02 May 2012

Rais Kikwete akitangaza Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete ana orodha mpya ya baraza lake la mawaziri kiganjani, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Alhaj Adam Omari Kimbisa
Na mashinda 01 Aug 2012

“SIKUTUMIA fedha kushinda ubunge wa Afrika Mashariki. Nitumie fedha za nini…utampa nani? Pale ukitoa pesa huchaguliwi, wabunge wataona unataka kuwanunua, nani anataka kununuliwa?” anahoji Adam Kimbisa katika mahojiano na MwanaHALISI.

 
Andrew Chenge akiwa mahakamani
Na Saed Kubenea 02 May 2012

“FUKUZA mawaziri wanane au ondoka mwenyewe.” Je, hii ni amri? Ni shinikizo? Ni maelekezo tu?

 
Rais Dk. Ali Mohamed Shein
Na Mwandishi Wetu 02 May 2012

NILIJUA tangu siku ile Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar, amekosea. Aliposema kuwa serikali haipaswi kuhojiwa kwa kuuza au kukodisha mali yake, hakika niliamini alijikwaa.

 

HUKUMU mbalimbali za kesi za kupinga matokeo ya chaguzi katika majimbo kadhaa yakiwemo mawili ya Sumbawanga na Arusha Mjini zinaonyesha “mchezo mchafu” ni jambo la kawaida nchini.

01/08/2012