HABARI MAHUSUSI

CCM yaanza kuaga ikulu

Na Alfred Lucas 23 Jun 2012

Rais Kikwete akiteremka kutoka Ikulu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kufanya maandalizi ya kuaga ikulu na kuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Dickson Maimu
Na Saed Kubenea 23 Jun 2012

SAKATA la mradi wa vitambulisho vya taifa lingali bichi. Sasa limeibuliwa upya na Dickson Maimu, mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).

 
Rais Dk. Ali Mohamed Shein
Na Jabir Idrissa 23 Jun 2012

MAWAZIRI watatu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliotuhumiwa ufisadi katika uuzaji na ukodishaji mali za serikali, huenda wakafukuzwa kazi kabla ya Oktoba mwaka huu, MwanaHALISI limeambiwa.

 
Gabriel Kimolo
Na Mwandishi Wetu 23 Jun 2012

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo amekanusha uvumi ulionea kuwa ana mpango wa kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 

AHADI ya nchi nane tajiri zaidi kiviwanda duniani ya kusaidia sekta ya kilimo ili kuondoa hofu ya ukosefu wa chakula kwa watu wapatao 50 milioni, haiaminiki.

CCM wakiri gamba limekwama [1,509]
CCM waanza kugombania mbao Paschally Mayega [1,457]
Shibuda, CCM na kauli za utumwa Mwandishi Maalum [1,248]
Kilichomponza DC Henjewele Igenga Mtatiro [1,226]
NEC wanamzunguka kiaina JK Joster Mwangulumbi [1,012]
Nundu, Ngeleja kwao cheo si dhamana Mbasha Asenga [992]
Sisi tukose na wao wakose Joster Mwangulumbi [989]
CCM inazifuata RTC, Gapex, Hizbu Nyaronyo Kicheere [979]
Tuwaamini tena wanamtandao? Kondo Tutindaga [932]
Bajeti ya SUK na changamoto mtawalia Jabir Idrissa [931]
Uchaguzi Kenya ‘kufilisi’ hazina [1,198]
UNITA washangilia uamuzi wa korti [930]
Wazee klabu ya Yanga wamepotoka Joster Mwangulumbi [1,088]
31/07/2012