HABARI MAHUSUSI

CCM, CUF jino kwa jino

Na Jabir Idrissa 06 Jun 2012

Rais Shein na Makamu wake Sharif Hamad

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeanza kufarakana; na serikali yao ya pamoja inaweza kusambaratika wakati wowote, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mbunge wa Bahi (CCM) Omary Badwell
Na Kondo Tutindaga 06 Jun 2012

TAARIFA za Bunge au wabunge kujihusisha na vitendo vya rushwa ni za hatari sana. Kwanza, hata kuzusha tu kuwa wabunge wanapokea rushwa ni hatari isiyovumilika kwa sababu watu wengi wamezoea kuona wabunge wanahonga si kuhongwa.

 
Zanzibar
Na Mbasha Asenga 06 Jun 2012

NIMESHINDWA kujizuia kuandika makala juu ya yanayotokea Zanzibar, hivyo najitupa uwanjani. Hata hivyo nitajitahidi kuchagua maneno ya kutumia kwa kuwa wapo watu hodari wa kupandikiza hisia kwa jamii ili kujenga uhalali wa malengo yao binafsi.

 
Diwani Suleiman Mathew
Na Alfred Lucas 06 Jun 2012

SULEIMAN Mathew alitamba na alipata umaarufu mkubwa alipokuwa mchezaji soka. Alipostaafu akaanzisha kituo cha kuendeleza michezo cha Tanzania Sports Catalyst na shule ya sekondari ya Tanzania Sports vilivyoko Kigamboni wilayani Temeke, Dar es Salaam.

 

HIVI serikali imeandaa bajeti gani kwa ajili ya Watanzania katika mwaka wa fedha unaoanzia mwezi ujao?

31/07/2012