HABARI MAHUSUSI

Udhaifu wa JK bungeni

Na Jabir Idrissa 27 Jun 2012

Rais Jakaya Kikwete

KAMBI ya upinzani imerejesha mjadala wa “udhaifu wa rais” bungeni kwa kutaja maeneo mbalimbali ambayo Rais Jakaya Kikwete alitakiwa kuchukua hatua, lakini badala yake alikaa kimya.

 
Faru weusi wa Serengeti
Na Jacob Daffi 27 Jun 2012

USALAMA wa Taifa na Polisi wametajwa katika ujangili unaoendeshwa kwenye mbuga za wanyama za taifa nchini, MwanaHALISI limegundua.

 
John John Mnyika
Na Mwandishi Wetu 27 Jun 2012

WIKI iliyopita, mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) alitolewa nje ya bunge kwa kukataa kitii amri ya naibu spika iliyomtaka afute kauli yake kwamba “rais ni dhaifu.” Alikuwa akichangia mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2012/13. Ifuatayo ni sehemu ya maelezo yake juu ya kile alichotaka kusema:

 
Luhaga Mpina
Na Alfred Lucas 27 Jun 2012

MBUNGE wa Kisesa (CCM) mkoani Simiyu, Luhaga Mpina alipopinga hadharani Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/ 2013 ulikuwa mwanzo wa msimamo wake kuonyesha kwamba haridhishwi na mwenendo wa serikali ya chama chake.

 
TAHARIRI: Uamsho wamenena

KAMA kilichotangazwa na Uamsho – kuelekeza wananchi Visiwani kujitokeza kutoa maoni yao kuhusu katiba mpya ni kweli, basi jumuiya hiyo imechukua mkondo sahihi.

31/07/2012