HABARI MAHUSUSI

Urais ngoma nzito kwa Kikwete

Na Saed Kubenea 29 Apr 2008

Rais Jakaya Kikwete
Wabia wake wamekuwa na nguvu kuliko yeye
Ameendelea kuwabeba mawaziri wenye tuhuma

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imechukuliwa na msukule. Wananchi wanajiuliza: "Mbona urais kwa Kikwete umekuwa mgumu kinyume cha matarajio yao?"

 
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati  na Madini, Nazir Karamagi
Na Mwandishi Wetu 29 Apr 2008

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi "amejinyonga." Hawezi kupata kile alichoahidi kukitoa bungeni. Chenyewe, kwa mujibu wa Sheria na Katiba, ni siri isiyotoleka hadharani, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Rais  Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa
Na Mbasha Asenga 29 Apr 2008

NIKIRI kwamba mimi si mtaalamu wa nyota na kwa maana hiyo nitakayoyajadili hapa, si suala la unajimu. Naangalia mambo halisi yanayotokea nchini petu.

 
Waziri wa maendeleo ya  mifugo na Uvuvi, John Pombe Magufuli
Na Iddy Mkwama 29 Apr 2008

"Haiwezekani bahari yetu igeuke kuwa kama shamba la bibi kila mtu anaingia na kuvuna chochote anachotaka bila kuka

 

TUMESOMA katika vyombo vingine vya habari kwamba mfanyabiashara kigogo na Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi, amefungua kesi dhidi ya gazeti hili la wananchi-MwanaHALISI.

09/04/2010