HABARI MAHUSUSI

Genge laundwa kumkabili Kikwete

Na Mwandishi Wetu 06 May 2008

Lahofia mabadiliko serikalini
Yeye ajiandaa kuwakabili

GENGE la watuhumiwa wa ufisadi nchini linajiandaa kukabiliana na utawala wa Rais Jakaya Kikwete ili kuudhoofisha kabisa, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Na Boniphace Kamalamo 06 May 2008

KUNA kila dalili kwamba serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Wananchi wanauliza, "Mbona serikali yetu inakwenda kama imechukuliwa na msukule!"

 
Na Joseph Mihangwa 13 May 2008

TUKIO la Mussa Ramadhani (18), anayedaiwa kukutwa na kichwa cha binadamu cha mtoto wa miaka mitatu, ni dhahiri limeanzisha mjadala.

 
Na Mwandishi Wetu 06 May 2008

NILIMUONA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame, akichekacheka na kutabasamu, huku amefunga mikono, mbele ya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, wiki moja baada ya uchaguzi wa nchi hiyo mwezi uliopita.

 

SERIKALI imekiri kwamba inaibiwa mabilioni ya fedha kila mwaka kutokana na wamiliki wa makampuni ya madini nchini kuandaa ripoti mbili tofauti.

Serikali ilete ajenda yake Mbasha Asenga [468]
Shamhuna na kadhia ya uhuru wa habari Jabir Idrissa [446]
Wafugaji wa Mbarali wametekelezwa? Ndimi Jidawaya Kazamoyo [359]
Serikali kikwazo vita vya ufisadi Stanislaus Kirobo [330]
Mafisadi wasionewe huruma David Kafulila [319]
09/04/2010